Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Majengo marefu yanazidi kupendezesha mandhari ya Jiji la Arusha

DSCN9999Hili ni jengo la NSSF kwa ajili ya wapangaji wa biashara na ofisi, ujenzi wake bado unaendelea

DSCN0270Mradi mwingine wa jengo la biashara na ofisi katika mzunguko wa Florida. Hili pia ni mradi wa mfuko wa hifadhi ya jamii

DSCN0261Stendi kuu ya mabasi yaendayo nje ya Arusha kama inavyoonekana pichani. Mji wa Arusha umetanuka kiasi cha stendi hii kutoweza kukidhi mahitaji tena na eneo la upanuzi ni haba.. Wafanya biashara wenye mitaji mikubwa wamekwishajenga majengo makubwa kuzunguka eneno la stendi hii.

Hata hivyo, kuna stendi nyingine jirani na Apartment za Shirika la Nyumba maalumu kwa mabasi ya usafiri luxury. 

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO