Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Huu ni ukatili kwa wanayama

2012-10-13 10.31.47Watetezi wa haki za wanyama wakikuta umebeba kuku kama huyu mama utakuwa matatani. Hawapaswi kutendewa hivi, kuwabeba kichwa chini-miguu juu!

2012-10-13 10.35.06Ubebaji unaokubalika ni kama huu

2012-10-13 10.33.30

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO