Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Magari ya Serikali yanaswa yakitumika kufanya kampeni za CCM Udiwani Makete

IMG-20121023-WA0000

IMG-20121023-WA0001

IMG-20121024-WA0000

IMG-20121024-WA0001

IMG-20121024-WA0002Juu ni picha mabalimbali zikionesha magari ya serikali yakitumika na Chama Cha Mapinduzi kufanya kampeni za kuwania udiwani katika Kata ya Luwumbu, Wilayani Makete jana. Jambo hili lililalamikiwa sana na watu wa vyma vingine hususani Chadema ambao wamelaani vikali matumizi ya mali za umma kutumika kwa maslahi ya chama kimoja.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO