Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAONESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZILIZOZALISHWA AFRIKA MASHARIKI KUANZA KESHO JIJINI ARUSHA

Made in East Africa Trade Faira 2012” , maonesho ya bidhaa mbalimbali za biashara zilizozalishwa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki yanataraijwa kuanza kesho Novemba 1, 2012 na kudumu hadi Novemba 4, 2012 katika viwanja vya Nane nane Njiro.

Hakuna kiingilio katika meonesho hayo na watu wote wamehimizwa kujitokeza kutembelea viwanja hivyo.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO