Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA

Amirijeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza Tanzania, Kamishna Jenerali  John Casmir  Minja, Ikulu jijini Dar es Salaam jana aubuhi.

Rais Kikwete akimkabidhi nyenzo baada ya kumwapisha Mkuu huyo  mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja. Picha zote na Freddy Maro. Picha kwa hisani ya Francis Godwin

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO