Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Arsenal walivyofungwa 2.0 na Schalke 4 nyumbani Emirates

TAKWIMU ZA MECHI

KIKOSI CHA ARSENAL: Mannone, Jenkinson (Gnabry 82), Mertesacker, Vermaelen, Andre Santos, Ramsey, Coquelin, Arteta, Podolski (Arshavin 82), Cazorla, Gervinho (Giroud 75).
BENCHI: Shea, Koscielny, Djourou, Chamakh.

NJANO: Vermaelen, Arteta, Ramsey, Gervinho.


KIKOSI CHA SCHALKE 04: Unnerstall, Uchida, Howedes, Matip, Fuchs, Hoger (Jones 46), Neustadter, Holtby (Barnetta 65), Afellay, Farfan, Huntelaar (Marica 87).

BENCHI: Hildebrand, Moritz, Draxler, Kolasinac.

NJANO: Afellay, Hoger.

WAFUNGAJI WA MABAO YAKE: Huntelaar 76, Afellay 86.

MAHUDHURIO: 60,049

REFA: Jonas Eriksson (Sweden)On its way: Huntelaar fires his effort towards goalHuntelaar akifungaDespair: Mikel Arteta reacts to Arsenal going behindMikel Arteta akisikitikia kipigoSneaking in: Ibrahim Afellay scores the second for Schalke Ibrahim Afellay akiifungia la pili SchalkeRace for the ball: Lukas Podolski and Marco Hoger chase the ballLukas Podolski na Marco Hoger wakigombea mpiraGoing down: Ibrahim Afellay goes down in the penalty area Ibrahim Afellay akifanya mishe kwenye lango la ArsenalGet up: Afellay appeals for a penalty but is booked for divingAfellay akilalamikia kukwatuliwa kwenye eneo la penalti, lakini akapewa njano akishutumiwa kujirushaTough battle: Francis Coquelin is tackled by Marco Hoeger Francis Coquelakipambana na Marco Hoeger. Picha na mashirika ya Kimataifa, Reuters, AFP, Getty

Wakati huo huo, timu ya Manchester United ilichapwa mabao 3-1 na Ajax mjini Amsterdam katika mchezo wa Kundi D wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
******

Real Madrid ilikuwa nchini Ujerumani kukabiliana na Borussia Dortmund na kujikuta ikiambulia kichapo cha golei 2.1, matokeo ambayo yanaiweka Dortmund kileleni mwa kundi mbele ya timu ya  Jose Mourinho. Man City wanashika mkia wakiwa na pointi moja tu baada ya kucheza mechi tatu.

Robert Lewandowski alifunga bao dakika ya 36, kabla ya Cristiano Ronaldo kusawazisha ndani ya dakika mbili, lakini Marcel Schmelzer akawafungia wenyeji la ushindi dakika ya 64.

******

Olympiacos walipata ushindi wa kwanza wakitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Montpellier nchini Ufaransa na kuongeza ugumu katika Kundi B, baada ya Arsenal kufungwa na Schalke.

Gaetan Charbonnier aliifungia Montpellier dakika ya 49kabla ya Vassilas Torosidis kusawazisha dakika ya 73 na Kostas Mitroglou aliyetokea benchi akafunga la ushindi dakika za majeruhi.

Matokeo ya jana yanaipeleka Schalke kileleni kwa pointi zake saba, wakiizidi moja The Gunners, na Olympiacos inakwenda nafasi ya tatu na Montpellier inaburuza mkia.

*********

Malaga imeendeleza wimbi la ushindi kileleni mwa Kundi C baada ya kuifunga AC Milan 1-0 na sasa inaongoza kundi hilo kwa pointi tatu zaidi. Joaquin ndiye aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 64 kwa pasi ya Manuel Iturra.

*******

Mechi nyingine ya Kundi C, Zenit St Petersburg waliifunga 1-0 Anderlecht nchini Urusi. 

Alexander Kerzhakov alifunga dakika ya 72 kwa mkwaju wa penalti, baada ya Milan Jovanovic kuchezewa rafu kwenye eneo la hatari na Alexander Anyukov.
******

Katika Kundi A, Porto imeendeleza rekodi yake nzuri ya asilimia 100 kwa ushindi wa 3-2 dhidi ya Dynamo Kiev nchini Ureno.

Wageni walisawazisha mara mbili kupitia kwa Oleg Gusev na Ideye Brown baada ya wenyeji kufunga kupitia kwa Silvestre Varela na Jackson Martinez, kabla ya Martinez kufunga la ushindi zikiwa zimesalia dakika 12.

Maelezo mengine ni kwa hisani ya AUDIFACE JACKSON BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO