Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutano wa CHADEMA kufunga kampeni Arumeru Mashariki, uliofanyika Patandi – Tengeru leo

Picha hii na hizo mbili za mwanzoni, ni kwa hisani ya Kamera ya JAMII FORUM..zikionesha mahudhurio ya jumla, picha nyingine ni hii..    H...
Soma Zaidi

Gazeti la Serikali Kufanyia Kampeni Chama Kimoja ni Sawa?

Pichani, wananchi wakisoma Toleo Maalumu la Gazeti la Uhuru (Gazeti la Umma, Gazeti la Serikali) liliogawiwa kwenye mkutano wa CCM Patandi, ...
Soma Zaidi

Dk Kitine, Butiku na Kaduma Wakitabiria kifo CCM

WASEMA WANAMTANDAO NI CHANZO CHA UFISADI Na Elias Msuya, Mwananchi Habari – Machi 26, 2012 MAKADA watatu wakongwe wa Chama Cha Mapinduzi (C...
Soma Zaidi

ANC Kushiriki Kongamano la Wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam Kesho

UJUMBE wa chama cha African National Congress (ANC), kutoka Afrika Kusini unatarajiwa kushiriki kongamano lwa wafanyabiashara litakalofanyi...
Soma Zaidi

Pinda Apokea Kombe la UEFA Dar es Salaam leo

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwapungua watu waliofika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kushuhudia wakati alipokabidhiwa kombe la UEFA j...
Soma Zaidi

UCHAGUZI ARUMERU: CCM Wagawa Nakala Za Gazeti Bure Mikutanoni Kuwachafua CHADEMA

Taswira ya Gazeti SAUTI HURU ukurasa wa mbele, toleo Na 177 la Machi 23 –27, 2012 lililogawiwa bure na maofisa wa CCM kwa watu waliohudhuria...
Soma Zaidi

Simba Yairarua ES Setif ya Algeria 2-0

Mchezaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi, akiruka juu katikati ya mabeki wa timu ya ES Setif wakati timu hizo zilipopambana katika kombe la ...
Soma Zaidi

CUF Haitakufa – Maalim Seif

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia katika mkutano wa hadhara kata ya Msambweni Tanga Katibu Mkuu w...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO