Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutano wa Nape Nnauye Viwanja vya Reli, Njoro mkoani Kilimanjaro

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 6, 2013 kwenye Viwanja vya Reli, Njoro mkoani Kilimanjaro.

Nape akipokewa na Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini, Aruu Segamba

Nape mnauye akizungumza machache na katibu wa ccm mkoa wa kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye  Uwanja wa Mikutano wa Railway.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, akipokea kadi ya aliyekuwa mwanachama wa Chadema, kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi, Juma Kalendo, baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Aprili 6, 2013, kwenye Viwanja vya Reli, Kata ya Njoro, Moshi mkoani Kilimanajro.

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifungua shina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM, katika kata ya Njoro, Moshi mkoani Kilimanajro, Aprili 6, 2013.

Baadhi ya vijana waliojiunga na CCM, baada ya kuihama Chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika Njiro mkoani Kilimanajro Aprili 6, 2013.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wapili kushoto) akiagana na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM baada ya ziara yake ya siku mbili wilaya ya Moshi mjini mkoani Kilimanajro kumalizika Aprili 6, 2013.Picha na Bashir Nkoromo

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO