Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA KUTOKA MIRERANI: YALIYOJIRI KATIKA MAZISHI YA MFANYA BIASHARA ERASTO MSUYA ALIYEUWAWA KWA KUPIGWA RISASI

Hapa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.

Hii ndio nyumba ya milele ya bilionea Erasto Msuya ikiandaliwa.


Wakati unaingia nyumbani kwa bilionea Erasto Msuya hili ndio bango lililokua limewekwa

Kwa picha za matukio zaidi kuhusiana na mazishi ya bilionea Erasto endelea kutembelea www.kingjofa.blogspot.com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO