Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MATUKIO ZAIDI: KAMPENI YA UBUNGE CHALINZE- CHADEMA

Mgombea kuhutubia Lugoba 2.Mgombea wa Chadema akihutubia wakazi wa Lugoba. Chadema wamekuwa wakifanya kampeni za kimyakimya tofauti na ilivyokuwa Kalenga hali inayodaiwa kuwashtua wapinzania wao CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar Said Issa Mohamed akizungumza na wananchi

Mgombea wa Chadema, Mathayo Toerongey akihutubia huku mvua inanyesha

Mathayo Torongey akizungumza na waandishi wa habari

Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohamed akipokea wananchama wapa

IMG-20140330-WA0012

IMG-20140330-WA0000Mgombea wa CHADEMA Mathayo Torongey pamoja na Meneja wa Kampeni Bwana Omar Mvamba na Msafara wa mgombea ukiongozwa na Makamu Mkiti Said Issa Mohamed ulifika kijijinikiji cha Ikuzwa kwa mguu baada ya magari kukwama mbugani kutokana kutokuwepo kwa barabara ya kupita magari. Pichani gari ya Chadema ikiwa imeharibika.

Wananchi wa Vijiji vya Pongwe Kiona na Ikuzwa walishangilia sana kuona viongozi hao wakiacha magari kwenye mpaka wa vijiji hivyo ili wawafikie wananchi katika maeneo yao.

Makamanda wakiwa wamekwama kupita kwenye barabara wakielekea kwenye kampeni za Ubunge Jimboni Chalinze.

Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimb la Chalinze Ndugu Mathayo Torongey akibadilishana mawazo na wanakijiji Jimboni Chalinze.

Katibu wa CCM Kata ya Kimange Bwana Haji aliondoka CCM na kujiunga na CHADEMA huku akikabidhiwa kadi yake na Makamu Mkiti Said Issa Mohamed.

Mgombea kuhutubia Lugoba

Mgombea kusalimia Lugoba 1.Kampeni ya Chadema Msoga na Lugoba

Mgombea kusalimia Lugoba 2.

Mgombea kusalimia Lugoba 3.

Mgombea kusalimia Makombe

Nyumba ya Mwalimu IkwazuUjuenzi wa jengo lililoelezwa kuwa la nyumba ya Mwalimu kijiji cha Ikwazu ikiwa haijamalizika.

IMG_20140329_135702

IMG_20140329_135705Moja ya vyumba vya madarasa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO