Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Name:  Lowassa1.jpg
Views: 2399
Size:  122.3 KB

Mhe. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, Kwa ajili ya kuchukua fomu

Name:  lowassa2.jpg
Views: 2382
Size:  76.7 KB

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) alipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu

Name:  11059601_385091355016802_8885760366441846382_n.jpg
Views: 2392
Size:  76.6 KB

Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam

Name:  Mbowe Lowassa.jpg
Views: 853
Size:  93.8 KB

Mwenyekiti wa Chadema (Kushoto) Mhe. Mbowe, na Mhe. Edward Lowassa (katikati) wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika makao makuu ya Chadem

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
Blogger Comment
Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO