Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wafanyabiashara wacheni kuipigachenga Serikali kwa kutokulipa kodi


div style="color: white; font-size: 0; height: 0; left: 30%; overflow: hidden; position: absolute; top: 30%; width: 0; z-index: -9;">
Displaying DSC_0706.JPG
Conversation opened. 1 read message.
Displaying DSC_0703.JPG
Raisi wa (FGBMFI)nchini Tanzania Injinia John Njau
 
Na.Vero Ignatus Arusha 
Wito umetolewa kwa jamii ili waweze kuwa na maisha bora wawe na shughuli za halali za kufanya zitakazo waingizia kipato,ili wasiwe tegemezi katika familia zao na jamii kwa ujumla.  
 
Kauli hiyo imetolewa na Jaggy Singh ambaye ni mkurugenzi mkuu wa ushirika ( FGBMFI)wa Kimataifa wa wafanyabiashara Wakristo,ambapo amewataka watu kufanya shughuli zao katika misingi iliyo halali ,katika uadilifu na waepuke udanganyifu.

Sigh amesisitiza kuwa lengo kuu la mkutano ni kuwaleta wafayabiashara pamoja, kubadilishana mawazo na changamoto wanazopitia,kuonyesha umuhimu wa kuishi maisha ya uhalisia na kufanya kazi kwa bidii zaidi,ambapo amewataka kuepuka udanganyifu wasiipige serikali chenga kwa kutokulipa kodi ,wafuate utaratibu na sheria za nchi. 

Kwa upande wake raisi wa (FGBMFI) nchini Tanzania Injinia John Njau amesema ushirika huo wa wafanyabiashara wa Kimataifa hawajishughulishi na biashara peke yake bali wanahubiri Injili kamili kwa kutoa ushuhuda wa vitendo hata kama wafanyabiashara wengine hawaamini wao wanatimiza wajibu. 

Ameainisha kuwa nchini Tanzania kwa sasa wana matawi ya ushirika huo wa wafanyabiashara Wakristo yapo(7) ambayo ni kama ifuatavyo,
Mbeya,Mwaza,Shinyanga,Kilimanjaro,Arusha,Dar es-salaam,Manyara pamoja na Zanzibar ,na kwa upande wa Kmataifa kwa ujumla yapo 169,ambapo kila tawi linafanya kazi kutokana na taaluma walizo nazo. 

Kwa upande wake mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano huo John Majo ,ambaye pia ni mwenyekiti wa tawi la Arusha ,amesema kuwa ushirika huo wa wafanyabiashara wa Kikristo mtu yeyote anaruhusiwa kujiunga maadamu anajishughulisha ,awe ameajiriwa ,mfanyabiashara ,au mjasiriamali anaruhusiwa nia yao kuu ni kuwaleta pamoja ili wamjue Mungu zaidi pia. 

Aidha amewataka vijana wa kiume wasipende maisha ya urahisi ya bali wachape kazi kwabidii,wajitume waache tabia mbaya ya kuwa tegemezi kwani wananguvu Mungu amewapa wazitumie ili kujiingizia kipato kwani itawajengea heshima katika jamii 

 “Unamkuta kijana yupo tu mtaani hataki kujishughulisha ukimtazama hana ulemavu wowote ,anapenda maisha ya kifahari nay a starehe lakini kazi hataki kufanya matokeo yake anajikuta amejiingiza kwenye mambo ya aibu na fedheha kubwa katika jamiii,inatuhuzunisha sana sisi kama wazazi badilikeni mjitume “alisisitiza John. 
 
Katika Kongamano hilo la Kimataifa la kila mwaka mwaka wasemaji walikuwepo sita ,ambao waliongozwa na raisi wa( FGBMFI )kutoka nchini Nigeria Injinia ,Ifeanyi .H.Odedo ambaye anasimamia matawi madogomadogo 3500 nchini Nigeria

Displaying DSC_0706.JPG
 Raisi wa (FGBMFI)nchini Tanzania Injinia John Njau,akimkabidhi rais mwenzie kutoka nchini Nigeria Injinia Injinia ,Ifeanyi .H.Odedo,ambaye pia alikuwa msemaji mkuu katika kongamano hilo la siku tatu lililofanyika katika Hotel ya Corrido Sring iliyopo Jijini Arusha.Picha na Vero Ignatus



Displaying IMG_5490.JPG
Katibu mkuu Taifa wa Ushirika wa wafanyabiashara wa Kimataifa wa Kikristo Fransis Kinabo.picha na Vero Ignatus.




























Page 1 of 1
Conversation opened. 1 read message.
3 of 48

CORRIDOR SPINGS

Inbox
x

vero ignatus <ignatus66@gmail.com>

AttachmentsOct 9 (2 days ago)


to me
Attachments area

Page 1 of 1

Wito umetolewa kwa jamii ili waweze kuwa na maisha bora wawe na shughuli za halali za kufanya
zitakazo waingizia kipato,ili wasiwe tegemezi katika familia zao na jamii kwa ujumla.
Kauli hiyo imetolewa na Jaggy Singh ambaye ni mkurugenzi mkuu wa ushirika wa Kimataifa wa
wafanyabiashara Wakristo( FGBMFI),ambapo amewataka watu kufanya shughuli zao katika misingi iliyo
halali ,katika uadilifu na waepuke udanganyifu.
Sigh amesisitiza kuwa lengo kuu la mkutano ni kuwaleta wafayabiashara pamoja, kubadilishana mawazo
na changamoto wanazopitia,kuonyesha umuhimu wa kuishi maisha ya uhalisia na kufanya kazi kwa bidii
zaidi,ambapo amewataka kuepuka udanganyifu wasiipige serikali chenga kwa kutokulipa kodi ,wafuate
utaratibu na sheria za nchi.
Kwa upande wake raisi wa ( FGBMFI)nchini Tanzania Injinia John Njau amesema ushirika huo wa
wafanyabiashara wa Kimataifa hawajishughulishi na biashara peke yake bali wanahubiri Injili kamili
kwa kutoa ushuhuda wa vitendo hata kama wafanyabiashara wengine hawaamini wao wanatimiza
wajibu.
Ameainisha kuwa nchini Tanzania kwa sasa wana matawi ya ushirika huo wa wafanyabiashara Wakristo
saba ( 7) Mbeya,Mwaza,Shinyanga,Kilimanjaro,Arusha,Dar es-salaam,Manyara pamoja na Zanzibar ,na
kwa upande wa Kmataifa kwa ujumla yapo 169,ambapo kila tawi linafanya kazi kutokana na taaluma
walizo nazo.
Kwa upande wake mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano huo John Majo ,ambaye pia ni
mwenyekiti wa tawi la Arusha ,amesema kuwa ushirika huo wa wafanyabiashara wa Kikristo mtu
yeyote anaruhusiwa kujiunga maadamu anajishughulisha ,awe ameajiriwa ,mfanyabiashara ,au
mjasiriamali anaruhusiwa nia yao kuu ni kuwaleta pamoja ili wamjue Mungu zaidi pia.
Aidha amewataka vijana wa kiume wasipende maisha ya urahisi ya bali wachape kazi kwabidii,wajitume
waache tabia mbaya ya kuwa tegemezi kwani wananguvu Mungu amewapa wazitumie ili kujiingizia
kipato kwani itawajengea heshima katika jamii
“Unamkuta kijana yupo tu mtaani hataki kujishughulisha ukimtazama hana ulemavu wowote ,anapenda
maisha ya kifahari nay a starehe lakini kazi hataki kufanya matokeo yake anajikuta amejiingiza kwenye
mambo ya aibu na fedheha kubwa katika jamiii,inatuhuzunisha sana sisi kama wazazi badilikeni mjitume
“alisisitiza John.
Katika Kongamano hilo la Kimataifa la kila mwaka mwaka wasemaji walikuwepo sita ,ambao
waliongozwa na raisi wa( FGBMFI )kutoka nchini Nigeria Injinia ,Ifeanyi .H.Odedo ambaye anasimamia
matawi madogomadogo 3500 nchini Nigeria.
Page 1 of 1
cordo spring.docx

Page 1 of 1

Page 1 of 1








Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO