Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutano wa CHADEMA kufunga kampeni Arumeru Mashariki, uliofanyika Patandi – Tengeru leo

Mkutano wa CDM Tengeru 1

Mkutano wa CDM Tengeru 3

Mkutano wa CDM Tengeru 2Picha hii na hizo mbili za mwanzoni, ni kwa hisani ya Kamera ya JAMII FORUM..zikionesha mahudhurio ya jumla, picha nyingine ni hii..
  

DSCN0024Helcopta iliyomleta Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ikitua uwanjani..

DSCN0022Wananchi wa Arumeru wakiizingira Helcopta ya chama kiasi cha kuleta kashkash wakati Mwenyekiti akiteremka kuelekea jukwaani

DSCN0041Wananchi bado wanazidi kuelekea eneo la mkutano

DSCN0043Picha chini na juu, wananchi wakifuatilia matangazo ya awali kabala ya Hotuba kuanza…jua limeathiri uchukuaji wa picha, Blog ya Arusha yetu inaomba radhi kwa tatizo hilo

DSCN0031

DSCN9964Uwanja ulijaa kuzidi uwezo wa Camera

DSCN9971Freeman Mbowe akihutubia

DSCN9979Palikuwa hapatoshi…

DSCN9994         Mabango nayo hayakukosekana

DSCN0004 Hwakuhitajika askari kutoa ulinzi wa magari ya watu….vijana wa chadema waliimudu kazi hiyo

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO