Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KIKWETE NA VIONGOZI WENZIE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAZINDUA BARABARA YA ARUSHA-NAMANGA-ATHI RIVER

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Kenya Jumatano Novemba 28, 2012 ...
Soma Zaidi

TASWIRA: UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI ULIVYOFANYWA NA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA JIJINI ARUSHA JANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiangalia mfano wa jengo jipya la makao ...
Soma Zaidi

Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman ajitoa katika kesi ya ubunge ya Godbless Lema

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amejitoa katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema. Habari za ...
Soma Zaidi

KWA MARA YA KWANZA ORIJINO KOMEDI WATOKEA KWENYE BAABKUBWA MAGAZINE TANGU KUANZISHWA .. LIKO MTAANI

Soma Zaidi

WAREMBO WATAKAOSHIRIKI SHINDANO LA MISS EAST AFRICA 2012 WAKIWA DAR; CHEKI POZI ZA UFUKWENI

Miss East Africa 2012-Eritrea. Grand Finale to be held on 07th December at Mlimani City, Dar es salaam Warembo wa Miss East Africa 2012 wak...
Soma Zaidi

Taswira: Halima Mdee na wenzake katika mazoezi ya mpira wa pete Jijini Arusha

Tukio hili ni la takribani majuma mawili yaliyopita ambapo baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walikuwa ...
Soma Zaidi

WARAKA WA ESTHER WASSIRA KWA WILLIAM J. MALECELA

W. J. Malecela, Habari ya leo, Pole sana na hongera kwa majukumu ya "Ujenzi wa Taifa".. Mimi ni mtu ninayeheshimu sana mawazo bina...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO