Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: ZIARA YA KATIBU MKUU CHADEMA KATIKA MAONESHO YA UTALII "ARUSHA KARIBU FAIR"

Taswira mbali mbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chadema Dk Vincent Mashinji akiambatana na baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho pa...
Soma Zaidi

Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje wafunguliwa Jijini Dar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akimkaribisha Waziri wa ...
Soma Zaidi

TASWIRA ZAIDI: ZIARA YA KATIBU MKUU WA CHADEMA DK MASHINJI NA UJUMBE WAKE WALIPOTEMBELEA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Vincent Mashinji (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh Daniel Kidega (kulia) ofisini ...
Soma Zaidi

Lowassa akutanisha Balozi wa Japan nchini na Viongozi wa Monduli kujadili Maendeleo yao

Pichani Mhe Edward Lowassa alipokutana na Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida katika kikao cha pamoja na Mbunge wa Monduli Julius Kal...
Soma Zaidi

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR VINCENT MASHINJI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dk Vincent Mashinji hii leo ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Jumuia ya Afrik...
Soma Zaidi

TASAF KUJA NA MKAKATI WA KUWANUSURU WANANCHI JAMII YA WAHADZABE WALIOKO ARUSHA, MNYARA NA SINGIDA

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird (watatu kushoto waliochuchumaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakazi wa ki...
Soma Zaidi

EAC TABLES USD 100 M BUDGET TO EALA: BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUJADILI BAJETI YA DOLA MIL 100 KWA SHUGHULI ZA JUMUIA HIYO 2016/2017

Hon Dr Susan Kolimba, Deputy Minister, Foreign Affairs and East African  Co-operation, Dr Susan Kolimba holds the Budget Speech. She is fl...
Soma Zaidi

Namna ya kuboresha Simu yako ya Tecno C8 kuwa ya kijanja zaidi. Soma hapa

TECNO Mobile wanakuletea mfumo mpya wa Android 6.0 Marshmallow kupitia simu yako ya Tecno Camon C8. Mfumo huu ni mfumo janja na una ifan...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO