Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAALIM SEIF - LEMA ANA UJASIRI ULE ULE NA FURAHA KUBWA, NI SHUJAA... AFICHUA SIRI YA UCHAGUZI ULIOFUTWA ZANZIBAR NA MGOGORO NDANI YA CUF

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hammaad(katikati) akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari Jijini Arusha jana mara baada ya kut...
Soma Zaidi

MHANDISI MTIGUMWE AWAONDOA HOFU WATUMISHI KUHAMIA DODOMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhandisi Mathew John Mtigumwe akisisitiza jambo wakati wa kikao cha pamoja na wafanyak...
Soma Zaidi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU UMOJA WA MATAIFA (UN) PIA AHUDHURIA MKUTANO WA AU MJINI ADDIS ABABA ETHIOPIA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Manuel...
Soma Zaidi

TAMASHA LA ARUSHA TOURISM FESTIVAL LAFANA ARUSHA, WATOTO WADOGO NAO WASHIRIKI NA MBIO

Mgeni rasmi katika tamasha hilo Afisa michezo wa Jiji la Arusha Benson Maneno akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa kwa upande wa wanawa...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO