Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WAZIRI WA HABARI ,SANAA,UTAMADUNI NA MICHEZO ,DKT HARSON MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI JIJINI ARUSHA

Waziri wa Habari,Sanaa,Utamduni na Michezo Dkt Harson Mwakyembe akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Chama ch...
Soma Zaidi

Taswira: Ziara ya Waziri Mwakyembe Mkoani Arusha

Waziri wa habari, utamaduni,sanaa na michezo Dokta Harrison Mwakyembe amewataka wajasiliamali wa vinyago kutafuta zaidi soko la bidhaa zao...
Soma Zaidi

DR. HASSAN ABASS AZINDUA TOVUTI YA MISA TANZANIA, JIJINI ARUSHA

 Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas(wa kwanza Kulia) na  Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari(wa kwanza kushoto) wak...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO