Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RPC Arusha akutana na waendesha Bodaboda kusaidia Ulinzi Shirikishi

Baadhi ya waendesha pikipiki za kubeba abiria Jijini Arusha maarufu kama bodaboda wakiwa katika kikao cha dharula na RPC Sabas katika mjada...
Soma Zaidi

IJUE SAFU MPYA YA KAMATI YA UTENDAJI YA TAIFA (SEKRETARIETI) YA CHAMA CHA WANANCHI CUF

--- 1. Naibu Katibu Mkuu (Bara), Mhe. Magdalena Sakaya. 2. Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Mhe. Nassor Ahmed Mazrui. 3. Mkurugenzi wa Mipa...
Soma Zaidi

KITAA WEAR YA MIKE T IKO MTAANI… ANGALIA UBUNIFU HUU

  Kama umependa KITAA wear cheki na.. -- Mike Mwakatundu Marketing Manager SHOWBIZ DEFINED MEDIA Co. Limited, P.O.Box 6380, Magome...
Soma Zaidi

TASWIRA: VIONGOZI NA WATAALAM WA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO WAKAGUA MAENDELEO MRADI WA MAKAA YA MAWE MCHUCHUMA

Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa pili kulia), akipata maelezo juu ya Mradi wa Makaa ya Mawe Mchuchu...
Soma Zaidi

Magdalena Sakaya (Mb) Ndiye Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CUF Bara; Mtatiro Ammwagia Sifa Kemkem

Kufuatia kupitishwa kwa Mh Magdalena Sakaya kuchukua nafasi ya Julius Mtatiro kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Mtatiro amea...
Soma Zaidi

Mshindi Redds Miss Arusha City Centre Apatikana

Hatimaye kitendawili cha nani ataibuka kuwa mshindi wa Redds Miss Arusha 2014 kimepata jibu baada ya mrembo.... kutoka....kuibuka mshindi dh...
Soma Zaidi

BBC - UK yakumbwa na uhaba wa mbegu za kiume

Uingereza inakabiliwa na upungufu wa Mbegu za kiume hali ambayo huenda ikalazimu kiliniki za matibabu ya uzazi nchini humo kuchukua mbegu...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO