Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Hatimaye Kata ya Moivaro inayoongozwa na Diwani Moiro wa CHADEMA kuwa na shule yake.

Kazi ya usawazishaji wa kiwanja cha itakayokuwa Shule ya Sekonda Moivaro imeanza rasmi leo ikitarajiwa kuwa wanafunzi wa Kata ya M...
Soma Zaidi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA KENYA, MHE. UHURU KENYATTA

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akiwa pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhulia katika Shereh...
Soma Zaidi

HUJUMA UCHAGUZI WA MADIWANI: LEAMA AWANDIKIA WARAKA MZITO RAIS MAGUFULI

Lema: Mh Rais, kwenye Uchaguzi wa Madiwani tumeshuhudia nguvu ya dola, siamini kama ni Tanzania kwa Uchaguzi wa aina hii Mh....
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO