Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mwananchi : Marekani yaipoka Tanzania Sh 1.4 trilioni za Msaada wa MCC

Na Gazeti Mwananchi , Dar es Salaam 30 Machi 2016 Wakati serikali ikihaha kubana matumizi ili kupata fedha za miradi ya maendeleo, Shirika ...
Soma Zaidi

TAMKO LA WAZIRI KIVULI WA MAMBO YA NJE JUU YA UAMUZI WA SHIRIKA LA MCC KUSITISHA MAHUSIANO NA TANZANIA

TAMKO LA WAZIRI KIVULI WA MAMBO YA NJE JUU YA UAMUZI WA SHIRIKA LA MCC KUSITISHA MAHUSIANO NA TANZANIA Kwa Vyombo vya Habari. Nimes...
Soma Zaidi

JOH MAKINI NA G-NAKO NDANI YA 102.5 LAKE FM MWANZA

Weusi @Joh Makini (L) & @Gnako Warawara (R) Wakiwa Rock City, Raha Yao ni Kusikiliza 102.5 Lake Fm, Radio Ya Wananzengo. JE WEWE ...
Soma Zaidi

Msife moyo, uchaguzi ni mchakato, si tukio – Mbowe

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewashauri Watanzania wasife moyo kwa matokeo mabaya ya...
Soma Zaidi

RAIS MAGUFULI AINGIA CHATO KWA MARA YA KWANZA ATAKA WATANZANIA WASHIKAMANE KUJITEGEMEA BADALA YA KUTEGEMEA MISAADA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefika nyumbani kwake katika kijiji cha Mlimani, Wilaya ya Chat...
Soma Zaidi

BAADA YA KUSHAMBULIWA KWA DK.MTWARA WIZARA YA AFYA WATOA TAMKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO  TAMKO LA MHE. UMMY MWALIMU (MB), WAZ...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO