Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU 2015

  Jangwani-Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015 Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishir...
Soma Zaidi

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA LEO,MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Songea waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini  h...
Soma Zaidi

MPENDAZOE, LEMBELI, KATAMBI WAITEKA SHINYANGA MJINI

Mheshimiwa James Lembeli akimwombea kura mgombea urais wa Ukawa mheshimiwa Edward Lowassa na mgombea ubunge jimbo la Shinyanga Patrobas Kat...
Soma Zaidi

TASWIRA: UZINDUZI WA KAMPENI ZA UBUNGE NA UDIWANI JIMBO LA MAGU MKOANI MWANZA.

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu, akimkabidhi mbele ya wananchi mgombea Ubunge wa Jimbo la Magu, Boneventura Kiswaga, Ilani ya ...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO