Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: NDEGE NDOGO ILIYOANGUKA KATIKA ZIWA MANYARA

Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ...
Soma Zaidi

TASWIRA: MARAIS WASTAAFU MKAPA , MWINYI NA RAIS KIKWETE WALIPOHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MUGABE

Marais wastaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe mama Anna Mkapa na Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakiwa katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare,...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO