Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA - MOSHI KWA SAA MBILI ASUBUHI

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ******* Hali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo asubuhi baada ya wanafunzi wa Chuo cha Ualim...
Soma Zaidi

MH NDESAMBURO NA MEYA JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KUIMARISHA CHADEMA KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya N...
Soma Zaidi

VIJANA WA CCM WAJIPANGA KURUDISHA JIMBO LA ARUSHA MJINI KUTOKA KWA CHADEMA

Wanachama na mashabiki wa chama cha Mapinduzi wametakiwa kujipanga kuhakikisha jimbo linarudi mikononi mwao kutoka kwa wapangaji ambao kodi...
Soma Zaidi

LUCY OWENYA CUP YAZINDULIWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI

Mbunge wa viti Maalumumkoa wa Kilimanjaro,Lucy Owenya akiwasili katika uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufung...
Soma Zaidi

KONGAMANO LA UHURU WA HABARI WPFD KUFANYIKA MOROGORO MEI 2-3, WADAU ZAIDI YA 200 KUSHIRIKI

Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akizung...
Soma Zaidi

BAVICHA Mbeya Walaani kitendo cha Jeshi la Polisi Kuwakamata vijana wa Red Brigade wa Tunduma na Kuutangazia Umma kuwa Wamekutwa na Silaha za Kivita Wakidai Sio Kweli

BARAZA LA VIJANA (BAVICHA) MKOA WA MBEYA Tarifa kwa umma, Bavicha tunalaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoani hapa kuwakamata vijana wa Re...
Soma Zaidi

MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR

  Cake maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwe...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO