Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wakati CUF wako Levolosi na timu nzima ya chama kitaifa, CHADEMA walikuwa wakiwasha moto Sombetini chini ya Kamanda Lema pekee

Seehemu ya wananchi wa Kata ya Sombetini waliojitokeza kuhudhuria mkutano wa Chadema leo uliofanyika katika Kata hiyo na kuhutubiwa na Mh L...
Soma Zaidi

Ziara ya Mh Nassari eneo la Ngarenanyuki kusikiliza kero za wananchi

Nassari (Mb) akiwa na Jackson Makalla (chini kushoto mwenye Kombati) walipokuwa Ngarenanyuki Jimbo la Arumeru Mashariki kusikiliza kero za w...
Soma Zaidi

Rais Kikwete afungua Mkutano aa Kimataifa wa African Green Revolution katika hoteli ya Ngurdoto Mjini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Alliance for a Green Revolution in Africa Dkt.Kofi Annan(kushoto) pamoja na Mkuruge...
Soma Zaidi

Zitto: Ubunge sasa basi

Na: Frank Sanga na Anthony Kayanda, Kigoma, MWANANCHI. MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amesema hana mpango wa kugombea u...
Soma Zaidi

President Kikwete Meets Kofi Annan For African Green Revolution Forum 2012 In Arusha

Annan gave the President the book at Ngurdoto Mountain lodge in Arusha shortly before the opening of the African Green Revolution Forum yest...
Soma Zaidi

Breaking News: Machinga Arusha wavamia eneo lililouzwa kifisadi na kujigawia kwa biashara zao, Polisi wakacha kutumia mabomu kuwatawanya

Wakati wakibomoa uzio hali ilikuwa hivi… (picha hii ni kwa hisani ya Saimon Frank, na the Moment of Truth Blog) Pichani, wananchi wa Arusha...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO