Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Askari Polisi na makazi duni

Makazi ya Askari Polisi Msimbazi Polisi Kariakoo-Dar es salaam Makazi ya Askari Polisi katika wilaya ya Rombo-Kilimanjaro Source: Maisha T...
Soma Zaidi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wanafunzi 51 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliodaiwa kufanya mkusanyiko usio halali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewaachia huru wanafunzi 51 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waliokuwa wakikabiliwa n...
Soma Zaidi

MASHABIKI WA YANGA WALIVYOMPOKEA MBUYU TWITE JANA

  Mbuyu Twite akiwa amevalishwa jezi namba 4 iliyoandikwa Rage Beki mpya wa Mabingwa wa Kombe la Kagame, Dar Young Africans, Mbuyu T...
Soma Zaidi

DC Mrisho Gambo Kufikishwa Mahakamani Kwa “Kumtusi” Mwanasheria ya Halmashauri ya Korogwe kuwa Degree yake ni ya ‘chupi’

  Kufuatia habari iliyochapishwa katika Gazeti la Majira la tarehe 29-08-2012, na mwandishi, Yusuph Mussa, Korogwe, DC wa Korogwe aliyetam...
Soma Zaidi

GADNER G. HABASH AHAMIA RADIO TIMES 100.5 FM, KURINDIMA NA KIPINDI KIPYA CHA “MASKANI”

Kapten Gadner Habash ambaye amejiunga na kituo hicho cha redio na kutangazia umma rasmi akizungumza na wanahabari pamoja na watangazaji wen...
Soma Zaidi

Taarifa mbalimbali za TFF Kwa Vyombo Vya Habari Agosti 31, 2012

                                            Release No. 139                               TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI                  ...
Soma Zaidi

Katibu Kata atuhumiwa kwa utapeli

Katibu wa Kata ya Enduleni Wilayani Ngorongoro (CHADEMA), Denis Paulo mwenye umri wa miaka 33 amekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha kwa madai...
Soma Zaidi

CHADEMA: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAUAJI YA MOROGORO

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapinga kauli za Serikali, Jeshi la Polisi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zenye kulipotosha taif...
Soma Zaidi

JK Atuma Salamu Za Rambirambi Msiba Wa Askofu Kikoti

  -- ----- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Rais wa Baraza la...
Soma Zaidi

Polisi: Aliyeuawa katika maandamano ya CHADEMA Morogoro aligongwa kwa kitu kizito

BAADA ya kufanyika kwa uchunguzi wa kitabibu kuhusu kifo cha mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ally Zona, matokeo ya ma...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO