Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KLABU ZASUBIRI FEDHA ZAO TRA ZICHEZE LIGI KUU

  Release No. 203 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Desemba 28, 2012 KLABU ZASUBIRI FEDHA ZAO TRA ZICHEZE LIGI KUU Klabu 14 ambazo timu za...
Soma Zaidi

MKE WA FILBERT BAYI AMFUATILIA MWANARIADHA MAARUFU WILHELM GIDABUDAY JIJINI ARUSHA

MWANARIADHA Willhelm Gidabuday (pichani) ameelezea mshangao wake kwa kitendo cha Mke wa Filbert Bayi kumfuatilia kiukachero hadi maneo anay...
Soma Zaidi

Watoto 6,838 waliomaliza darasa la saba Mkoani Arusha wakosa nafasi za kujiunga sekondari

PICHANI: WANAFUNZI WA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI MWERE MANISPAA YA MOROGORO WAKIFANYA MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA HISABATI WA KUMALIZA E...
Soma Zaidi

Mlipuko mkubwa mjini Lagos

Moto mkubwa umetokea katika mji mkuu wa Nigeria Lagos. Taarifa zinaarifu kuwa moto huo ulianza katika eneo la kuhifadhi baruti na kisha ku...
Soma Zaidi

SHEREHE YA TAWI LA CHADEMA- DMV YA KUUAGA MWAKA 2012 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2013 M4C

Viongozi wa Tawi la CHADEMA DMV walipokuwa katika sherehe ya kuuaga mwaka 2012 na kukaribisha mwaka mpya 2013 M4C imefana sana, siku ya Ju...
Soma Zaidi

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA RASMI KITUO CHA POLISI CHA KIBOJE WILAYAYA KATI ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaliminana na maofisa wa Usalama wa Wilaya ya Kati, waka...
Soma Zaidi

TASWIRA: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA LEO WANANCHI WAKIPINGA UJENZI WA BOMBA LA GAS KUTOKA MTWARA KUELEKEA PWANI NA DAR-ES-SALAAM BILA WAO KUNUFAIKA

PICHA ZOTE ZIMEKUSANYWA KUTOKA MITANDAO MBALI MBALI ILIYORIPOTI TUKIO LA MAANDAMNAO HAYO
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO