Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WAZIRI MKUU PINDA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MTUNZA IKULU NDOGO YA ARUSHA LEO

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mtunza Ikulu ya Arusha (House Keeper), Lucy Samillah katika ibada ya ma...
Soma Zaidi

Vipaji Toka Moyoni… Miraji na kipaji cha uchoraji michoro ya Tingatinga

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zinakabiliwa na tatizo kubwa la ajira kwa vijana. Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo wamekuwa w...
Soma Zaidi

Joshua Nassari atoa siku 14 kwa magazeti mawili kumsafisha

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ametoa siku 14 kwa magazeti mawili yatolewalo kila siku nchini kumsafisha kwa uzito waliotolea...
Soma Zaidi

Joshua Nassari akanusha kufyatua risasi kwenye uchaguzi wa madiwani Daraja II Arusha jana

Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mh Joshua Nassari amekanusha taarifa zilizoandikwa na magazeti ya Uhuru na Habari Leo kuwa jana alify...
Soma Zaidi

TASWIRA: KUWASILI KWA RAIS KIKWETE KWA ZIARA YA MKOA WA KILIMANJARO JANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjar...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO