Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KIKWETE AFIKA ENEO LA TUKIO NA KUSHUHUDIA HALI HALISI YA KUANGUKA KWA JENGO LA GHOROFA 16 JIJINI DAR,HALI YA UOKOAJI UNAENDELEA

  Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge,Mh Mbatia muda mfupi mara baada ya kufika na kujionea hali halisi ya jengo la Ghorofa lililop...
Soma Zaidi

Wakili Nyange Mawalla aliacha wosia wa kisheria ulioelekeza azikwe Kenya

MGOGORO wa maziko ya Wakili Nyaga Mawalla, umeingia katika sura mpya, baada ya wakili wake, Fatuma Karume, kutoa wosia wake ambao ameelekez...
Soma Zaidi

BREAKING NEWS: JENGO LA GHOROFA 16 LAANGUKA KATIKATI YA JIJI DAR ES SALAAM, YADAIWA WATU ZAIDI YA 60 WAMEFUKIWA NA KIFUSI

Jengo la Ghorofa 16 limeporomoka Jijini Dar mtaa wa Indira Ghand, kwa taarifa za awali inasemekana kuna watu ambao wamefunikwa na kifusi baa...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO