Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI “JAMBO FESTIVAL” KUTIKISA ARUSHA

Wasaniiwa muziki wa asili wakitoa burudani katika tamasha la Jambo festival. Mwenyekitiwa Tamasha la sanaa na utamaduni Arusha  maarufu ...
Soma Zaidi

MAANDAMANO: VIONGOZI CHADEMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI WAACHIWA KWA DHAMANA

Mkuu wa kitengo cha sheria CHADEMA, Tundu Lisu, (Katikati), akiongozana na washtakiwa kwenye kesi ya kukusanyika isivyo halali wakati wakit...
Soma Zaidi

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA NA WALIOKOSA NAFASI TCU KUJIUNGA VYUO VIKUU HAYA HAPA!

  Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) imetoa orodha ya wanafunzi waliobahatika kuchaguliwa kujiunga na Vyuo Vikuu mbalimbali nchini na halikad...
Soma Zaidi

“RASIMU YA SITTA” ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM 2014 HII HAPA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta   Mwenyekti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba ya Bunge Maalumu la katiba, Mh Andrew Ch...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO