Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

BIDHAA ZA KIDOTI ZATINGA JIJI LA ARUSHA; VIJANA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIJASIRIAMALI

  Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Jokate Mwegelo  (kidoti) akiwa na mabalozi wake aliwapata ndani ya mkoa wa Arusha tayari kwa kw...
Soma Zaidi

MASHIRIKA MATANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA(FOS) YAUNGANA KWA PAMOJA KUTOA ELIMU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Wasemaji kutoka Mashirika Matano Kutoka kushoto ni Msemaji kutoka LHRC,OXFAM, Restless Development, BBC na VSO   Mkurugenzi Mkuu Mka...
Soma Zaidi

BREAKINGA NEWS: LOWASSA NA FAMILIA YAK WAIKACHA CCM RASMI! WAJIUNGA NA UKAWA KUPITIA CHADEMA

Aliyekuwa mgombea uteuzi wa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Mh Edward Lowassa ametangaza rasmi hii leo kuwa n...
Soma Zaidi

LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA; GOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia (pichani kati) akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye mak...
Soma Zaidi

RAIS BARACK OBAMA ATEMBELEA UBALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI ULIOLIPULIWA MWAKA 1998 NAIROBI KENYA.

Wananchi wa Kenya wakiwa na shauku ya kumwona Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama alipotembelea Ubalozi wa zamani wa Marekani uliolipuliwa ...
Soma Zaidi

Kampeni ya " Ndio ! Fuso ni Faida " kwa mikoa zaidi ya 11 Kuanza leo tarehe 24 July ,2015 ,Jijini Dar

Ndio! FusoniFaida is back! Diamond Motors Limited is the country’s leading automobile distributor and the sole distributor of ...
Soma Zaidi

MBIO ZA UBUNGE ARUSHA ZIMEANZA KUNOGA, WAGOMBEA UBUNGE CCM WAANZA KUELEZA SERA ZAO

  Kada maarufu wa chama cha mapinduzi ambaye pia ni mfanyabiashara wa madini jijini Arusha Justine Nyari,akizungumza katika mkutano wa had...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO