Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

FAHAMU MRADI WA MABASI YAENDAYO KWA KASI UNAOENDELEA KUJENGWA BARABARA YA MOROGORO, DAR ES SALAAM

Mfano halisi wa jinsi itakavyokuwa barabara ya mabasi yaendayo kasi inayoendelea kujengwa kwenye barabara ya Morogoro, katikati ni sehemu y...
Soma Zaidi

Godbless Lema akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mchikichini Manispaa ya Ilala Dar es Salaam juzi

Mjumbe wa Kamati Kuu  ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw Godbless Lema, akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mchikichi...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO