Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Vijana Wa CCM Elimu Ya Juu Watinga ofisini kwa Nape Kufikisha Ujumbe Wao Dhidi ya Viongozi wa Serikali Wasiowajibika

  Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea  Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM walioko Vy...
Soma Zaidi

AUWSA waeleza sababu za watu wa Arusha kuwa na ‘meno ya brown’

Si jambo gumu kumtambua mtu ambae amezaliwa na kukulia Arusha. Wengi wa wakazi wenyeji wa Arusha wana meno yenye rangi na watoto kwa baadhi...
Soma Zaidi

Habari Mpya: Kamati Kuu (CCM) yaridhia Kikwete Kulisuka Upya Baraza la Mawaziri

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati Kuu iliyokutana leo tarehe 27/04/2012  chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Jiji...
Soma Zaidi

News Alert: Tindu Lissu aibuka kidedea katika kesi ya kupinga Ubunge wake.

Mahakama Kuu imemuachia Mh Tindu Lissu kuendelea na ubunge wake (Singida Mashariki) baada ya hoja za walalamikaji kushindwa kuthibitisha ma...
Soma Zaidi

Hii ndio nyumba ya Waziri Maige anayodai kuinunua kwa USD 410,000

Ezekiel Maige wa Maliasili na Utalii baada ya tuhuma, ameibuka na kukiri nyumba yake hii iko Mbezi Beach, Dar es Salaam, na ameinunua kwa Do...
Soma Zaidi

Joshua Nassari (Mb) awa kivutio mechi ya Oljoro na Yanga Mjini Arusha leo

Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA) akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu waliofurika katika uwanja wa Kumbukumbu ye Sheikh Amri Abe...
Soma Zaidi

Ikulu yakanusha Rais Kikwete kupingana na Waziri Mkuu wake katika sakata la Mawaziri waliotajwa kuhusika na ubadhirifu wa fedha za umma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili  mjini Blantyre ,Malawi  leo jioni (22 Aprili 2012) kuhudhuria  Mazishi ya Profesa Bingu  wa Mutharika...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO