Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KINANA, CCM WANAPANGA NJAMA ZA KUMVUA LISSU UBUNGE MAHAKAMANI!!!

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA KINANA, CCM WANAPANGA NJAMA ZA KUMVUA LISSU UBUNGE MAHAKAMANI!!! Dar es Sal...
Soma Zaidi

TASWIRA: MKUTANO WA CCM LUDWA, NJOMBE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini Lude...
Soma Zaidi

Sherehe ya Lady Jaydee kuadhimisha Miaka 13 katika Muziki Imeahirishwa kupisha Msiba wa Albert Mangwea “Cow Boy” aliyefariki Afrika Kusini jana

Mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya nchini, mwanadada Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee ‘Anaconda’ ametangaza kuahirisha shugh...
Soma Zaidi

Kesi ya Lema akidaiwa kuchochea vurugu Chuo cha Uhasibu Arusha yasoahirishwa hadi Julai 2, 2013

Hakimu Devota Msofe wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ameahirisha shauri la kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lem...
Soma Zaidi

Rest In Peace Albert Mangwea… You Have Gone Too Soon Brother!

Taarifa za kifo cha msanii Albert Mangwea aka Mimi aka Cow Bama aka Cow Wizzy kilichotokea nchini Afrika Kusini jana zimepokelewa kwa huzun...
Soma Zaidi

SOMA HAPA HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANIBUNGENI MHE. HALIMA JAMES MDEE (MB) KUHUSU MAPITIO YAUTEKELEZAJI WA BAJETI YA 2012/2013 NA MAKADIRIO YA MAPATONA MATUMIZI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI KWA MWAKA WA FEDHA 2013/14

Mbunge wa Jimbo la Kawe-Chadema na Waziri Kivuli wa Ardhi Nyumba na Maendelea ya Makazi Halima Mdee KONG’OLI HAPA KUISOMA HOTUBA YOTE
Soma Zaidi

HATIMAE MSHINDI WA PROMOSHENI YA VODACOM MAHELA AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mwanafunzi wa Chuo Cha Ualimu Kasulu, mkoani kigoma Valerian Nickodemus Kamugisha akinyannyua kwa Furaha sehemu ya fedha Sh 100 Milioni ali...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO