Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutano wa CHADEMA kufunga kampeni Arumeru Mashariki, uliofanyika Patandi – Tengeru leo

Picha hii na hizo mbili za mwanzoni, ni kwa hisani ya Kamera ya JAMII FORUM..zikionesha mahudhurio ya jumla, picha nyingine ni hii..    H...
Soma Zaidi

ANC Kushiriki Kongamano la Wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam Kesho

UJUMBE wa chama cha African National Congress (ANC), kutoka Afrika Kusini unatarajiwa kushiriki kongamano lwa wafanyabiashara litakalofanyi...
Soma Zaidi

UCHAGUZI ARUMERU: CCM Wagawa Nakala Za Gazeti Bure Mikutanoni Kuwachafua CHADEMA

Taswira ya Gazeti SAUTI HURU ukurasa wa mbele, toleo Na 177 la Machi 23 –27, 2012 lililogawiwa bure na maofisa wa CCM kwa watu waliohudhuria...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO