Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WAZAZI WAHIMIZWA KUTAMBUA VIAJI VYA WAOTO WAO NA KUVIENDELEZA

 Picha mtoto Lameck Charles (9) pamoja na mdogo wake Fredrick Charles (8)ni Watoto wa shule ya Msingi Inteki wakiwa wanaonyesha mchezo ...
Soma Zaidi

TIRA: ATAKAYEKAMATWA NA BIMA FEKI SHARIA KUCHUKUA NAFASI

Mwanasheria Arthur Mbena   kutoka Mamlaka ya usimamizi wa Bima  Tanzania (TIRA) akiwa katika maonyesho ya 41 ya biashara Kimataifa saba...
Soma Zaidi

EVERTON YAIRARUA GOR MAHIA KWA TABU KATIKA ARDHI YA TANZANIA ROONEY ATUPIA MOJA

Timu ya Soka ya Uingereza, Everton imewafunga mabingwa wa kombe la SportPesa 2017, Gor Mahia ya Kenya 2-1 katika mchezo ulioshuhudiwa ...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO