Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

UVCCM Arusha Watoa Tamko Baada ya Kinana Kusitisha Ziara za Mwigulu

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:  UVCCM MKOA WA ARUSHA.  Tarehe 22/01/2015 Ndugu wanahabari, leo tumeona vyema tutumie fursa hii ili tuweze k...
Soma Zaidi

Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Mbunge wa Jimbo la HAI,,na Kiongozi wa kambi RAsmi bungeni MH FREEMAN MBOWE ameendeleza juhudi zake katika...
Soma Zaidi

“Mgomo” wa Daladala Arusha Waingia Siku ya Pili kwa Baadhi ya Njia, Wasafiri Walazimika Kupanda Guta, Pick Up na Canter Kwenda Kazini

Kile kinachotafsiriwa kuwa mgomo wa waendesha magari madogo ya kubeba abiria kwa Jiji la Arusha maarufu kama “vifodi” umeendelea tena hii le...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO