Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MBOWE - TANGA MMEKUWA NYUMA KIMAENDELEO KWA SABABU MMECHELEWA KUITOA CCM MADARAKANI

"Tanga mmeendelea kuwa nyuma kimaendeleo kwa sababu mmeendelea kukikumbatia Chama cha Mapinduzi CCM kwa kuwapigia kura na kuwafanya wa...
Soma Zaidi

MUWSA WATUMIA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KUOTESHA MITI KATIKA VYANZO VYAKE VYA MAJI

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) wakishusha miti tayari kwa ajili ya kuotesha kan...
Soma Zaidi

Ajali Mteremko Nduruma: Basi laparamia Daladala, abiria mmoja afariki

Basi maarufu kwa jina la Neema za Mungu linalofanya safari za kubeba abiria kati ya Arusha Mjini na Ngarenanyuki lilishindwa breki na kulazi...
Soma Zaidi

Tundu Lissu: Jeshi la polisi lirudishe simu yangu, liache kuingilia mawasiliano yangu

Wandugu wapendwa, Nimetoka Kituo Kikuu cha Polisi Dar sasa hivi (jana). Polisi wamekataa kunirudishia simu yangu waliyoinyang'...
Soma Zaidi

MPEKUZI VIDEO: Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Wakati akiwaapisha Dr Mwakyembe na Prof Kabudi, Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John P. Magufuli, leo amewaapisha Dr Harrison Mwakyembe na Prof Palamagamba Kabudi pam...
Soma Zaidi

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NGUO MAURITIUS

 Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akitazama mitambo ya kiwanda cha kuengeneza nyuzi za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha nguo ch...
Soma Zaidi

TIMU YA TAIFA YA RIADHA YAKABIDHIWA BENDERA ,YAELEKEA UGANDA NA MATUMAINI YA KUREJEA NA MEDALI

Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akikabidhi Bendera kwa manahodha wa timu ya taifa ya riadha kwa upande wa wana...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO