Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KUTOKA MITANDAONI: WANANCHI WAPONDA MWITO WA DC MAKONDA KUMUHOJI GWAJIMA

Mwishoni wa Juma lililopita Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Askofu Josephat Gwajima alihitajika na Jeshi la Polisi kwa Mahojiano kuhus...
Soma Zaidi

MTATIRO ANAHOJI - NDIYO KUSEMA VURUGU ZA UCHAGUZI ZIMEANZA ZANZIBAR?

Ndugu zangu, nimejulishwa na viongozi wetu wa Zanzibar juu ya kushambuliwa kwa wafuasi wa CUF waliokuwa kwenye harakati za chama huko maku...
Soma Zaidi

TASWIRA KUTOKA IMETOSHA CAMPAIGN: MATEMBEZI YA KUPIGA VITA MAUAJI YA ALBINO DAR

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr, Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdi...
Soma Zaidi

ZITTO ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MKUU WA ACT-TANZANIA, MWENYEKITI TAIFA YUKO CHINI YAKE

  Mwanasiasa kijana, Zitto Kabwe, amechaguliwa kuwa kiongozi wa chama kipya cha siasa cha upinzani ACT Wazalendo, katika uchaguzi uliokam...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO