Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 36, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 29, 2017

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza kikao cha 36 cha Mkutan...
Soma Zaidi

RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA DHANA YA KUOGOPA KUSTAAFU

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza katika mkutano wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF jijini Arusha...
Soma Zaidi

MATUKIO MBALIMBALI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akitoa elimu kuhusu umuhimu wa wananchi k...
Soma Zaidi

UNESCO KWA KUSHIRIKIANA NA GPF TANZANIA WAENDESHA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO VIJANA ,CHUO KIKUU CHA MWALIMU NYERERE

Muandaaji wa Semina hiyo iliyofanyika Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere na Mwenyekiti wa UNESCO Youth Forum Bw. Frank Joash akieleza...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO