Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA AKITOKEA DAR KWA BARABARA

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga mara baada ya...
Soma Zaidi

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KWA KUTOPOKEA MSHAHARA TANGU 2013

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Juliet Kairuki Taarifa ya utenguzi huo
Soma Zaidi

ARUSHA: TAASISI YA 'MEN@ WORK' YALAANI USHOGA

Imeandikwa na    Woinde Shizza   Muasisi wa Taasisi hiyo    yenye makao yake jijini Arusha Maxwell    Stanslaus  akiwa anaongea n...
Soma Zaidi

Taswira: Meya wa Jiji la Arusha Afanya Ziara Soko la Kilombero na Kukagua Maboresho ya Miundombinu ya Soko na eneo la Stendi ya muda ya Daladala

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Mh Kalisti Lazaro (mwenye suti) akizungumza na wafanyabiashara nje ya soko la Kilombe...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO