Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kwa Kijana wa Arusha: Nafasi za Kukusanya Ushuru wa Maegesho ya Magari

Halmashauri ya Jiji la Arusha inawatangazia vijana wote wakati wa Arusha wenye sifa kwa mujibu wa Tangazo hilo juu  kujitokeza na kutuma maombi ya ajira ya kukusanya ushuru  wa maegesho kwa niaba ya Halmashauri kabla ya Juni 27 mwaka huu.

Kijana changamkia fursa hiyo.


Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO