Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Gari inayotengenezwa yaacha njia na kubomoa darasa la shule ya Osunyai Arusha

Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mh Kalisti Lazaro ameelezea kushangazwa na wafanya biashara wa soko la
Kwa Morombo wanaomiliki maduka ya biashara ya baa na Guest House, kulipa kodi ndogo kwa Halmashauri hiyo, kiasi cha  shilingi elfu mbili kwa mwezi akisema kuwa ni kiwango kidogo sana.

Mh Kalisti amesisitiza kuwa maendeleo ya wananchi kuwa na barabara, zahanati na shule bora hayatafikiwa kwa malipo ya kodi hiyo ndogo.

Ameeleza kuwa Halmashauri itapanga kodi mpya ya maridhiano na wafanya biashara hao.

Wengine pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh Felix Ntibenda na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh Fadhil Nkurlu  pamoja na Naibu Meya Viola Likindikoki


Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO