Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SHULE KUMI ZA MKOA WA ARUSHA ZILIZOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE 2013

Arusha-City

Hizi ni shule 10 bora zilizofanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne 2013 katika jiji la Arusha.

bofya link iliyo chorwa mstari ,kwa kila shule na itakupeleka kwenye matokeo halisi ya shule hizo, ni mchangayiko wa shule za sekondari za wasichana na wavulana.
Pia shule ya Precious Blood ya Wasichana na ni moja kati ya shule kumi bora kitaifa na inatokea katika jiji letu la Arusha. Blogu ya Wazalendo 25 Blog inawapa Hongera sana kwa waalimu, wanafunzi na wafanyakazi wa shule hizo, endeleeni na moyo huo huo.
Pia kwa Chini unaweza kuangalia Muundo wa uwekaji wa Alama za ufaulu kutoka alama ya kwanza mpaka ya mwisho, yaani alama A - F , ili upime viwango vya ufaulu vya mwaka huu. ni mambo ya BIG RESULTS NOW

SHULE BORA ZA MKOA WA ARUSHA NI KAMA IFUATAVYO;

KWA MATOKEO YOTE YA KIDATO CHA NNE 2013 BOFYA HAPA CHINI.... (MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013)

MUUNDO

Huu ndio Muundo wa uwekaji wa alama za ufaulu kutoka alama A-F

TAARIFA KWA HISANI YA: DANIEL URIOH BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO