Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KATIBA MPYA: TOA MAONI KWA NJIA YA SMS

Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inawatangazia wananchi wote nchini wanaotaka kupeleka maoni yao kwa njia ya sms watumie namba za simu hizi zifuatazo:
0774 081508 (Zantel), 0715 081508 (Tigo), 0767 081508 (Vodacom), 0787 081508 (Airtel). kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yao ya
http://www.katiba.go.tz/
Picha: Rundugai Blog
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO