Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

External Pavings kwa kutumia mawe ya mtoni

External Pavings kwa kutumia mawe ya mtoni

DSCN7304_thumb9Leo Blog yako ya ujenzi inakuletea teknolojia mpya ya kutengeneza madhari ya kuzunguka nyumba na kwa kutumia mawe madogomadogo yanyopatikana mtoni.

Kama picha inavyoonesha mawe haya madogo hupangwa kwa kuunganishwa karibu juu ya surface ngumu iliyoandaliwa maalumu, na baadae kukaziwa na mchanganyiko wa sementi na mchanga kwenye maunganiko. Haya hutumiak kama mbadala wa paving blocks, slabs, tiles ama screeding ya kawaida.

DSCN7249_thumb6

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO