Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Umeshawahi kufikiria kuwa na sakafu ya mbao ndani ya nyumba yako?

DSCN7253_thumb7Sakafu ya mbao, kitaalamu inaitwa “Parquet Flooring”. Sakafu hii kama picha inavyoonesha imeunganishwa na tiles zenye rangi inayofanania nazo

DSCN7263_thumb6Hizi ni stepu za ngazi ambazo zimewekewa mbano ngumu badala ya tiles ama bidhaa nyingineyo. Iking’arishwa na varnish/polish hupendeza sana!

DSCN7275_thumb6

DSCN7296_thumb6Sakafu hii ni ya mbao tupu kabla ya kung’arishwa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO