Godbless Lema anaepinga kuenguliwa ubunge wake na Mahakama Kuu kanda ya Arusha akijiandaa kuingia katika usafiri wake kuondoka katika viwanja vya Mahakama Kuu Arusha asubuhi ya leo
Umati wa watu nje ya uzio wa Mahakama Kuu Arusha kumlaki Mh Lema akitoka Mahakamani
Msafara unaondoka, haikuwa rahisi kuwazuia watu hawa kusindikiza gari ya Mh Lema
Waanausalama wapo kazini, nyuma ya msafara
Msafara umeingia Old Moshi Road kuelekea Ngarenaro. Wananchi hawa walijawa na furaha na kujikuta wakiimba nyimbo za mashujaa kwa sauti huku wakipeperusha matawi ya miti na majani
Baadhi ya wananchi walioamaua kutangulia Ofisini
Msafara unakatiza mitaa ya Jiji kuingia mjini kabisa
Wananchi hawa walikuwa wamejipanga kando ya barabara na kujikuta wameshindwa kujizuia hisia zao
Wanawasili eneo zilipo ofisi za Chadema, Ngarenaro
Gari iliyombeba Lema ikiwa imezingirwa ofisini hapo mara baada ya kuwasili
Wakiitikia “Peoples Power” iliyoimbishwa na Lema ambae haonekani pichani
Kamanda wa Chadema mjini Arusha maarufu kama Omari Matelephone akiwa amejitupia pamba zake zenye nakshi ya rangi zinazopatikana katika bendera ya chama hicho.
PICHA ZOTE NA CHRISTOPHER MBAJO, KAMANDA WA CHADEMA ARUSHA
5 maoni:
aisee no comeent anayebisha kuwa chadeama hipendwi Ar akabishie chumbani kwake siyo hadaharani, Peoplessssssssssssss
Nawapongeza wanavipatu wote kwa kuwa hewani!
Hildagarda....wewe ni noma, umeona eeh, washenzi watakuja na story zao za kipumbavu eti wananchi walihongwa....nyoooo upuuzi mtupu, uhonge wali maharage watu wenye akili.....wapeleke huko huko kwa magamba yao......Lema ni mbunge halali wa Arusha mjini, hata wafanyeje walishashindwa tu.
Mi mwenyewe nakubali!!Chadema iko mbeleee...hata hiyo kesi atashinda manake ni kesi ya ku2nga 2!!
Mimi nataka hilo gari la Lema kama anauza nipo tayari kununua, Nani ataniulizia kwake jamani nawaombeni sana msaada wenu.
Post a Comment