Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Ziara ya Msajili wa Vyama Jaji Mutungi Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini

Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini,Mhe Jaji Francis Mutungi leo ametembelea Ofisi za CHADEMA Mkoa wa Arusha na Chadema Kanda Ya Kaskazini na kukutana na Viongozi wa ngazi ya Wilaya,Mkoa na Kanda.
Jaji Mutungi amesema kuwa ANAPENDELEA KUWA KARIBU NA VYAMA VYA SIASA YEYE KAMA MLEZI jambo ambalo litasaidia kujua uhitaji wa vyama Vya Siasa na hata kutoa ushauri kwao.

11665645_406149179574384_2169419311151141439_n

Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi akizungumza na viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini katika ofisi ya Kanda eneo la Ngarenaro Jijini Arusha

11206949_406149159574386_5358799430463971971_n

Jaji Francis Mutungi akizungumza na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mratibu wa Kanda ya Kaskazini Mh Amani Golugwa

11659255_406149266241042_2549742991371038785_n

11167982_406149269574375_5572375977609867414_n

Jaji Mutungi katika picha ya Pamoja na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Arusha na Kanda ya Kaskazini Kwa Ujumla

11659468_413354358853866_4779401722004393707_n

Akiondoka ofisini hapo

11709235_413354208853881_1589723956807968064_n

Hapa anasalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Mkoa wa Arusha, Mh Exaud Mamuya

18711_413354268853875_5126281980746707807_n

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO