Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Baada ya Kushika Nafasi ya Kwanza Kwa Usafi, Jiji la Arusha Lazindua Rasmi Kampeni Endelevu ya Usafi wa Mazingira leo

Halmashauri ya Jiji la Arusha hii leo chini ya uongozi wa Meya wake Gaudensi Lyimo imezindua kampeni endelevu ya kuweka Jiji na mitaa yake katika mazingira safi.

Uzinduzi huu unafuatia tukio la Jiji hilo kuibuka kinara wa usafi kwa majiji yote Tanzania takribani wiki moja iliyopita.

Aidha Halmashauri hiyo imetoa zawaki kwa Kata zake zilizofanya vizuri kwa usafi zikiongozwa na Kata ya Themi na Sekei. Diwani wa Kata ya Themi ni Mh Menace Kinabo.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO