Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

FAMILIA YA LOWASSA YAMJIA JUU WAZIRI KIGWANGALA

Jan, Nanuari 29, 2018 Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Fredrick Lowassa. ameeleza kusikitishwa na kile alichosema ni taarifa ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr Hamisi Kigwangalla akitaja jina la Lowassa kama mmoja ya watu eti walioshiriki kupora ardhi  Arusha.
Ameeleza kuwa akiwa kama msemaji wa familia anazo katika kiganja cha mikono yake taarifa zote za umiliki wowote unaomgusa baba yake Mzee Lowassa.
“Ninaweza kuuhakikishia umma kwamba yote aliyosema Waziri Kigwangalla hayapo na kama anayo basi sisi tuko tayari afanye lolote lililo chini ya mamlaka yake badala ya kurejea kule tulikopita ambako yeye na wenzake kadhaa walifanya bila mafanikio kuchafua heshima za wote anaowataja bila sababu.” – Fredrick Lowassa

CHANZO: MILLARD AYO
Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO